NASMAMAFOTO

Thursday, June 20, 2013

*YALIYOJIRI KATI YA TIMU YA BENKI YA NMB v/s WABUNGE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI


IMG_0021
Hiki ndicho kikosi kamili cha timu ya benki ya NMB kilichong’ara siku hiyo katika kutimua kivumbi kwenye uwanja wa jamhuri.
Katika kuendeleza na kuimarisha mahusiano mazuri kati ya Benki ya NMB na waheshimiwa wabunge, Benki ya NMB iliandaa mtanange wa kukata na shoka ambao ulihudhuriwa na washabiki wa timu hizo mbili  ambao ni wakazi wa manispaa ya Dodoma.
IMG_0019
Hiki ni Kikosi cha timu ya waheshimia wabunge iliyowatikisa  wachezaji wa timu ya NMB
IMG_0010
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mhe. George Mkuchika ambae alikua ndiye mgeni rasmi akikagua kikosi cha timu ya NMB kabla ya mpambano huo.
IMG_0054
Naibu waziri wa habari Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Amos Makalla (Jezi ya njano na Bluu) akipigwa chenga na  Afisa mkuu wa fedha NMB  Waziri Waziri katika mtanange huo uliokuwa wa kukata na shoka.
IMG_0128(1)
Hawa ni sehemu ya mashabiki wa timu hizi mbili wakifurahia mtanange huuNa hii ndio timu ya waheshimia wabunge iliyowatikisa  wachezaji wa timu ya NMB.
IMG_0051
Hawa ni sehemu ya mashabiki wa timu hizi mbili wakifurahia mtanange huu
Posted by Unknown at 10:12 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
View mobile version
Subscribe to: Post Comments (Atom)

instagram

whatsapp

Total Pageviews

My Blog List

  • MTAA KWA MTAA BLOG
    Diwani wa zamani Kata ya Msasani, Neghesti achukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia CCM’
    49 minutes ago
  • JIACHIE
    Diwani wa zamani Kata ya Msasani, Neghesti achukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia CCM’
    50 minutes ago
  • MICHUZI BLOG
    Diwani wa zamani Kata ya Msasani, Neghesti achukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia CCM’
    51 minutes ago
  • Father Kidevu
    RAIS SAMIA ATAJA MAFANIKIO SEKTA YA NISHATI 2020-2025
    8 hours ago
  • SUFIANIMAFOTO
    MATUKIO KATIKA PICHA YANGA ILIPOLALA BAO 1 KWA SIMBA TAIFA JANA
    6 years ago
  • EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
    Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku
    6 years ago
  • LUKAZA
    AIRTEL CALLS SCHOOLS IN KINONDONI TO MAKE USE OF AIRTEL LAB
    7 years ago
  • TWANGA PEPETA
    Bansege style
    9 years ago

Popular Posts

  • BOFYA HAPA NYIMBO MPYA YA DIAMOND-MY NUMBER 1
  • BOFYA HAPA UCHEKI MY NUMBER ONE REMIX YA DIAMOND FT DAVIDO
  • *ICHEKI VIDEO YA SNURA ANAKUAMBIA "MAJANGA"
  • *SHARO MILIONEA AZIKWA LEO MUHEZA NA MAMIA
         Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele        Ra...
  • MAZIKO YA MSANII RECHO NA MWANAE MAKABURI YA KINONDONI LEO.
    Mchumba wa marehemu, George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Racho na mwanae. Waombolezaji wakiweka mashada ...
  • *MSANII WA BONGO MOVIE 'KASHI' AFARIKI DUNIA LEO MCHANA
    HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa msanii wa filamu nchini Jaji Khamis almaaruf kwa jina la 'Kashi' aliyewahi kutamba...
  • *MATOKEO MAPYA YA WALIOFELI MITIHANI KIDATO CHA NNE 2012 HAYA HAPA
    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB)  leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa- ...
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016 YATANGAZWA
    Matokeo ya Kidato cha nne kwa wananfunzi waliohitimu mwaka 2016, yametangazwa kuyaona kwa KUBOFYA HAPA
  • MATUKIO YA BARABARANI JIJINI DAR LEO KATIKA PICHA
     Ujenzi wa Barabara za mabasi yaendayo kasi ukiendelea jijini Dar es Salaam, hapa ni eneo la Mkwajuni mafundi wakiendelea na ujenzi wa ...
  • *FAMILIA YA MANDERA YAZUA UTATA KUHUSU NI WAPI ATAZIKIWA
    Na. Halima Kambi, Dar Bado Bara la Afrika likiwa katika wingu nzito juu ya Afya ya baba wa Afrika Kusini Nelson Mandela familia yake n...

Blog Archive

  • ►  2017 (1)
    • ►  January 2017 (1)
  • ►  2016 (16)
    • ►  September 2016 (1)
    • ►  July 2016 (15)
  • ►  2015 (3)
    • ►  September 2015 (3)
  • ►  2014 (604)
    • ►  November 2014 (5)
    • ►  July 2014 (2)
    • ►  June 2014 (144)
    • ►  May 2014 (181)
    • ►  April 2014 (216)
    • ►  March 2014 (51)
    • ►  February 2014 (2)
    • ►  January 2014 (3)
  • ▼  2013 (289)
    • ►  December 2013 (1)
    • ►  September 2013 (5)
    • ►  August 2013 (2)
    • ►  July 2013 (21)
    • ▼  June 2013 (188)
      • *WAWILI WACHAGULIWA KITUO CHA VIPAJI ASPIRE
      • *FAMILIA YA MANDERA YAZUA UTATA KUHUSU NI WAPI ATA...
      • *RAIS KIKWETE AKUTANA NA KIONGOZI WA SHIRIKA LA UN...
      • *UCHAGUZI WA VIONGOZI WA BFT KUFANYIKA JULAI 7.
      • *KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
      • *MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MAFUNZO YA UOFIS...
      • *RAIS WA TFF LEODGER TENGA WATAKA MAKOCHA WALIOMAL...
      • *TANZANIA YASHINDA TUZO 3 ZA UTUMISHI WA UMMA BARA...
      • *WANAWAKE WANA UWEZO WA KUBADILISHA MAISHA YA MTAN...
      • *WANAFUNZI WALIOSOMA SHULE ZA KATA VYUO VIKUU WAMT...
      • *MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 24 W...
      • *WANASWA KWENYE BODABODA WAKIWA NA BASTOLA YENYE R...
      • *MICHAEL JACKSON AIBUKIA BONANZA LA TBL'S FAMILY D...
      • *HALI SI SHWARI CHU KIKUU CHA TEOFILO (TEKU) WAHAD...
      • *KAMATI YA MAANDALIZI YAFANYA KIKAO NA UBALOZI, WA...
      • * SHEREHE ZA KUAPISHWA SKAUTI MKUU WA CHAMA CHA SK...
      • *SHEHA ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ZANZNIBAR AANZA MATI...
      • *GRAND MALT YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU Z...
      • *TFF YAMLILIA MATHIAS KISSA
      • *ZITTO KABWE KUHUDHULIA TAMASHA LA ASPEN IDEAS 201...
      • *NMB YAFADHILI MICHEZO YA UMITASHUMTA MANISPAA YA ...
      • * REDD'S MISS KANDA YA MASHARIKI KUFANYIKA JUNI 29
      • * FADHIL ADAM ALIPOUAGA UKAPERA JANA
      • *BEN PAUL TWANGA PEPETA KUWASINDIKIZA WAREMBO WA R...
      • *TANZANIA IMEPONGEZWA KWA KULINDA HAKI ZA WAKIMBIZ...
      • *AZIMIO LA MAZINGIRA BORA NA SALAMA KWA WAANDISHI ...
      • *MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA KIKAO CHA SMZ N...
      • *JICHO LA SUFIANIMAFOTO NDANI YA MJI WA DODOMA LEO
      • *MWIGULU NCHEMBA NA PETER MSIGWA NUSURA WAZICHAPE ...
      • RAIS WA TFF LEODGER TENGA KUFUNGA KOZI YA MAKOCHA ...
      • OMMY DIMPOZ AJUUUUUTA, KUSEMA UKWELI WA MOYONI JUK...
      • *MWENYEKITI UVCCM TAIFA SADIFA JUMA HAMISI APINGA ...
      • *VIONGOZI WA SERIKALI, DINI, VYAMA VYA SIASA WATAK...
      • *MAMA SALMA KIKWETE AMKABIDHI MSAADA WA CHEREHANI ...
      • *MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI 'BADO ...
      • *WALIOTINGA FAINALI ZA REDDS MISS KINONDONI TALENT...
      • *MICHELLE JENG FOUNDATION LAUNCH IN SWEDEN
      • *BALOZI IDD AMJULIA HALI NA KUMUAGA SHEHA WA SHEHI...
      • *WATANZANIA WATAKIWA KUKESHA WAKIOMBA AMANI KWA IM...
      • *MHE. ALI HASSAN MWINYI MGENI RASMI, MASANJA, SHIL...
      • *TIMU NANE KUSHIRIKI BONANZA LA BREAKE POINT JUMAPILI
      • *MSHIRIKI WA BBA MTANZANIA FEZA KESSY AACHIA VIDEO...
      • *KAMPUNI YA GONEX YAZINDULIWA KUWASAIDIA VIJANA KU...
      • *BEKI 'KISIKI' WA YANGA DAVID LUHENDE ACHUKUA NAFA...
      • *TANSEED KUDHIBITI MAGUGU HATARI YA KIDUHA
      • * MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI K...
      • *ICHEKI VIDEO YA SNURA ANAKUAMBIA "MAJANGA"
      • * KILICHOSABABISHA TAIFA STARS KUFUNGWA NA IVORY C...
      • *YALIYOJIRI KATI YA TIMU YA BENKI YA NMB v/s WABUN...
      • *RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA BENKI YA BADEA
      • *MBOWE, LEMA WAJISALIMISHA KITUO CHA POLISI ARUSHA
      • * REDDS MISS KINONDONI TALENT 2013, KUPATIKANA LEO...
      • *MAADHIMISHO YA SIKU YA UGONJWA WA SIKOSELI DUNIAN...
      • *MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA...
      • *MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA MABALOZI WATE...
      • *ANGALIA PICHA ZA UZINDUZI WA SHINDANO LA EPIQ BON...
      • BENKI YA BADEA WAIPIGA JEKI SERIKALI YA TANZANIA J...
      • *MAMA SALMA KIKWETE APONGEZWA KWA KUENDELEZA SOKA ...
      • *RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA ZIARA YA KIKA...
      • *REDDS MISS KINONDONI TALENT 2013 KUFANYIKA ALHAMI...
      • *MECHI YA STARS v/s IVORY COAST YAINGIZA SH. M 500...
      • *KONYAGI YATOA SOMO KWA WABUNGE KUHUSU BIASHARA YA...
      • *BENKI YA NMB YA ZINDUA CHAP CHAP AKAUNTI KWA AJIL...
      • KWAHERI LANGA-ANGALIA VIDEO YA WASANII WALIOMUIMBIA.
      • ANGALIA PICHA ZA MSANII LANGA ALIVYOAGWA NYUMBANI ...
      • TAIFA STARS YAKUBALI YAISHE MBELE YA IVORY COAST Y...
      • BARCLAYS WATOA MISAADA KWA WATOTO HOSPITALI YA MUH...
      • *SHEREHE YA UWT KWA CHAMA CHA UKOMBOZI CHA PALESTI...
      • "WATU WAWILI WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA NA MLIPUKO WA ...
      • * 'REST IN PEACE SHIDA' 'ANAKONDA' ALIVYOTESA WATU...
      • *MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL,VIONGOZI NA WANANCHI KU...
      • *MAKAMU WA RAIS DKT BILAL APOKEA UJUMBE MAALUM WA ...
      • *WAZEE WA ELERAI WAIOMBEA CCM USHINDI
      • * REDDS MISS KANDA YA KATI NI HAPPYNESS WATIMANYWA.
      • *MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA CH...
      • VIDEO LIVE YA SHOO YA MWANA FA
      • ANGALIA VIDEO YA SHOO YA JAY DEE LIVE
      • "ANAKONDA" LADY JAY DEE NI NOMA
      • MSANII LANGA ANATARAJIA KUZIKWA JUMATATU MAKABURI ...
      • *NI KWELI AJALI HAINA KINGA?
      • *USIKU WA TUDD THOMAS" Juni 30, 2013 DAR LIVE
      • *MAMA SALMA APOKEA TUZO YA MILENIUM DEVELOPMENT GO...
      • *RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA TAMASHA LA URITHI WA MIL...
      • *TFF YATUMA RAMBIRAMBI MSIBA WA MCHEZAJI WA ZAMANI...
      • *TFF YATOA NOTISI YA MKUTANO MKUU
      • *MAKOCHA WA TAIFA STARS NA IVORY COAST USO KWA USO...
      • *UCHAGUZI MKUU ZIMBABWE KUFANYIKA JULAI 31
      • TARATIBU ZA MAZISHI YA MSANII LANGA INAFANYIKA MIK...
      • *BALOZI SEIF IDD AKUTANA NA UJUMBE WA PARESTINA, A...
      • *POLISI ZANZIBAR NA VIKOSI VYA SMZ KUFANYA MATEMBE...
      • *GARI LINAUZWA
      • *WA IVORY COAST WATUA BONGO BILA DROGBA KUIKABILI ...
      • *REDD'S MISS KINONDONI 2013 KUFANYIKA KATIKA HOTEL...
      • *TAMASHA LA FILAMU GRAND MALT KUFANYIKA JIJINI MWA...
      • *TIKETI ZA KUWAONA SAMATA v/s TOURE KUANZA KUUZWA ...
      • *WAAMUZI WATATU WAFUNGIWA MIEZI MITATU KILA MMOJA
      • *RAIS WA TFF LEODGER TENGA AMPONGEZA RAIS MPYA WA ZFA
      • *BREAKING NEEEEWZ!!!! MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI K...
      • *KIKOSI CHA IVORY COAST KUTUA DAR KESHO JUNI 13, K...
    • ►  May 2013 (72)
  • ►  2012 (12)
    • ►  November 2012 (1)
    • ►  October 2012 (6)
    • ►  September 2012 (2)
    • ►  August 2012 (3)
Nasmamafoto Blog. Simple theme. Theme images by bulentgultek. Powered by Blogger.