NASMAMAFOTO

Thursday, June 20, 2013

*YALIYOJIRI KATI YA TIMU YA BENKI YA NMB v/s WABUNGE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI


IMG_0021
Hiki ndicho kikosi kamili cha timu ya benki ya NMB kilichong’ara siku hiyo katika kutimua kivumbi kwenye uwanja wa jamhuri.
Katika kuendeleza na kuimarisha mahusiano mazuri kati ya Benki ya NMB na waheshimiwa wabunge, Benki ya NMB iliandaa mtanange wa kukata na shoka ambao ulihudhuriwa na washabiki wa timu hizo mbili  ambao ni wakazi wa manispaa ya Dodoma.
IMG_0019
Hiki ni Kikosi cha timu ya waheshimia wabunge iliyowatikisa  wachezaji wa timu ya NMB
IMG_0010
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mhe. George Mkuchika ambae alikua ndiye mgeni rasmi akikagua kikosi cha timu ya NMB kabla ya mpambano huo.
IMG_0054
Naibu waziri wa habari Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Amos Makalla (Jezi ya njano na Bluu) akipigwa chenga na  Afisa mkuu wa fedha NMB  Waziri Waziri katika mtanange huo uliokuwa wa kukata na shoka.
IMG_0128(1)
Hawa ni sehemu ya mashabiki wa timu hizi mbili wakifurahia mtanange huuNa hii ndio timu ya waheshimia wabunge iliyowatikisa  wachezaji wa timu ya NMB.
IMG_0051
Hawa ni sehemu ya mashabiki wa timu hizi mbili wakifurahia mtanange huu
Unknown at 10:12 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.