Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiongoza kikao cha pamoja na wajumbe wa kamati maalum iliyoundwa na Spika kuchunguza chanzo cha migogoro ya wananchi wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi.
*SPIKA WA BUNGE ANNA MAKINDA ALIPOKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI TZ, BI. FIONNULA GIISENNAN
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akimkaribisha na kuzungumza na Balozi wa Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan, wakati alipofika Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma kwa mazungumzo, leo mchana
No comments:
Post a Comment