Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipanda ngazi kwenda juu ya tanki wakati akikagua ujenzi wa mradi wa chanzo cha maji cha Ikongoro, mjini Mpanda leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipanda ngazi kukagua tangi hilo
Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume akipanda ngazi kwenda juu ya tangi kuona mradi huo
Kinana akikagua mtaro wa kutandaza mabomba ya maji kutoka kwenye tanki hilo
Kinana akishiriki kulaza mabomba kwenye mtaro alipokagua mradi huo wa maji eneo la Kazima Mpanda mjini.
Karibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa nyumba 90 uliofanywa na shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Ilembo, Mpanda Mjini
Mjumbe wa Shina namba 32 tawi la Makanyagio mjini Mpanda, Thobias Kazimzuri akizungumza wakati Kinana alipohudhuria kikao kwenye shina hilo
Kinana akizungumza kwenye mkutano huo kwenye shina namna 32 mjini Mpanda
Nape akiwa na wanachama wa shina namba 32 wakati wa kikao alichohudhuria Kinana kwenye shina hilo.
Nape akiwa na mtoto kwenye shina hilo
Wanachama wakiwa kwenye kikao hicho cha shina namba 32
Kinana akipokea mwanachama mpya aliyejiunga kutoka Chadema wakati wa kikao hicho cha shina namba 32
Msafara wa pikipiki ukitoka Ofisi ya CCM mkoa wa Katavi, kwenda Uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanywa na Kinana kwenye Uwanja wa Kashaulili, leo mjini Mpanda
Msafara wa Kinana ukienda Uwanja wa Mkutano
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda na kuhutubiwa na Kinana
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda na kuhutubiwa na Kinana
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman kinana akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo mwishoni mwa ziara yake mkoani Katavi
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman kinana akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo mwishoni mwa ziara yake mkoani Katavi. Picha zote na Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment