Saturday, May 17, 2014

BREAKING NEWZZZ ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA


 MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
Kuambiana enzi za uhai wake.

Adam kuambiana
Adam Kuambiana, Steve Shoo, blandina Chagula, Farid,
Kuambiana enzi za uhai wake akiwa na Crew ya RJ Company kikazi zaidi.
Adam kuambiana.
Kuambiana alivyokuwa awali.



Marehemu Kuambiana katika muonekano wake wa siku zake za mwisho za uhai wake
...katika pozi na msanii Irene Uwoya
...(kushoto) akiwa na wasanii wenzake JB (kutoka kulia), Tino na Mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi
BAADHI YA KAZI ALIZOCHEZA/KUONGOZA MAREHEMU KUAMBIANA:
R.I.P Adamu Kuambia

No comments:

Post a Comment