Bi Mary Kaunga (kushoto) na msimazi Jenifer Lweje, wakiingia katika ukumbini, wa Mwenge Social wakati wa sherehe ya kuagwa.
Bi Mary Kaunga akiingia katika ukumbini, wakati wa sherehe ya kumuaga 'Send off party' kulia ni mpambe wake Jenifer Lweje.
Wadogo ambao pia walikuwa ni wasimamizi wa Bi Harusi mtarajiwa, Mary Kaunga, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa sherehe ya 'Send off' iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa 'Mwenge Social Hall' jijini Dar es Salaam.
Ni wakati wa mkono wa pongezi.
Wakati wa zawadi kumpongeza Bi harusi mtarajiwa.
Picha ya pamoja kwa kumbukumbu.
Picha ya pamoja kwa kumbukumbu
No comments:
Post a Comment