TATHMINI YA MSAJILI WA VYAMA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA CHALINZE
Msajili Msaidizi Ndugu Sisty Nyahoza kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa akitoa tathmini ya uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kwenye mkutano na waandishi wa habari hawapo kwenye picha,uliofanyika kwenye ukumbi wa Maasai Lungwe,Chalinze
No comments:
Post a Comment