Thursday, April 3, 2014

RIDHIWANI KIKWETE AFUNGUA SHINA LA WAKEREKETWA LA MAGWILA

1Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kitongoji cha Mbala kata ya Bwilingu leo wakati akiomba kura kwa wananchi hao, Uchaguzi wa jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE) 2Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akifurahia wakati Meneja wa Kampeni hizo Mzee Kazidi alipokuwa akimtambulisha jukwaani. 3Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete katikati na Meneja kampeni Mzee Kazidi wakimsikiliza Diwani wa kata ya Bwilingu Bw. Nasser Ahmed wakati wa mkutano huo. 4Diwani wa kata ya Bilingu Nasser Ahmed akizungumza na wananchi katika kitongoji cha Mbala kata ya Bwilingu
 9

No comments:

Post a Comment