Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kinavyoonekana baada ya kubomolewa, ambapo zoezi ya ubomoaji huo limeanza leo asubuhi.
Vijana wakijisevia mabaki ya mabati na mbao baada ya kubomolewa kilichokuwa Choo cha kulipia, kilichokuwa katika eneo hilo la Kituo cha Daladala cha Mwenge.
Askari Polisi wakiimarisha ulinzi pande hizo wakati wa zoezi la ubomojani.
Mmoja kati ya wafanyabiashara wa kituoni hapo akiwahi kuokoa Tulubai lake kabla ya kufikiwa na Katapila wakati wa ubomoaji.
Askari wa FFU akiwa anazuia watu wasipite eneo ambalo kulikuwa na kazi ya Bomoa bomoa ikiendelea.
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ubomoaji ukiendelea.
Hiki ni Kituo cha abiria waliokuwa wakisubiria usafiri.
Mabaki ya Vibanda
''Hapa sijui naye alikuwa akijisevia ama anasaidia kuokoa ama anakusanya'' Mmoja wa Mgambo akiwa amebeba Meza kupeleka akiiburuza kuelekea....
Kazi ya Ubebaji Meza na Mabaki ya Vibanda ikiendelea...
Mashuhuda wakiongezeka
Moja ya eneo ndani ya Mwenge walipo hifadhi baadhi ya Meza za Biashara
Meza nyigine hoi....
Bomoa Bomoa ikiendelea upande wa Juu Mwenge...
Tingatinga likibomoa mapaa ya Vibanda yaliyozidi katika eneo hilo la Kituo.
Mgambo anafanya kazi bila kujiziba pua ambapo amejikuta kivuta hewa nzito na vumbi katika zoezi hilo, ''Hatareeeee''
Mashuhuda upande wa Juu Mwenge, wakinasa matukio kwa simu zao...
Hapa ilitaka kutokea Shoti ya Umeme Baada ya gari la kubomoa kupita sehemu ambayo kuna waya wa umeme, TANESCO hawajazima umeme eneo hilo jambo ambalo ni Hatari.
Hali Halisi baada ya eneo hilo kubomolewa.......Picha na Blog za Mikoani
No comments:
Post a Comment