Ujerumani 4-0 Ureno
Freekick kuelekea lango la Ujerumani.
Thomas Müller ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao matatu katika kombe la dunia huko Brazil
Mfungaji mabao matatu ya Ujerumani Thomas Müller
Lukas Podolski achukua nafasi yake Thomas Müller
Matokeo kufikia sasa Ujerumani 4 - 0 Ureno
Thomas Mueller anafurukuta nipenikupe kwenye lango la Ureno na kufuma mpira uliotemwa na kipa wa Ujerumani
Ujerumani yafunga bao la 4
Ronaldo amlalamikia vikali refarii kuwa anapaswa kuwepa penalti lakini refari haskii lolote anasema mpira uendelee
Ronaldo alilishambulia lango la Ujerumani lakini mkwaju wake ulipanguliwa . Ureno ikiongozwa na Christiano Ronaldo hawakuwana jibu la nipe nikupe kwa Ujerumani.
Ujerumani imefungua kampeini yake kwa kishindo ikiiadhibu Ureno 3-0
Dakika ya 70 Ujerumani 3-0 Ureno
Kisa kilichompelekea pepe kuoneshwa kadi nyekundu awali katika mechi hii
Matokeo kufikia sasa dakika ya 60 ya kipindi cha pili Ujerumani 3-0 Ureno.Mesut Ozil apumzishwa nafasi yake inachukuliwa na Andres
Ujerumani yafungua kampeini yake kwa kishindo dhidi ya Ureno
huko Brazil
No comments:
Post a Comment