Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts

Tuesday, January 31, 2017

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016 YATANGAZWA





Matokeo ya Kidato cha nne kwa wananfunzi waliohitimu mwaka 2016, yametangazwa kuyaona kwa KUBOFYA HAPA

Tuesday, July 19, 2016

KANALI MKISI AANZA KUSHUGHULIKIA KERO ZA USHURU WA MAZAO KWA WAKULIMA WADOGO KASULU









Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Martin Mkisi akiongea na wakulima wadogowadogo wanaosafirisha mazao yao ya chakula kutoka mashambani mwao wakati alipokutana nao njia akiwa katika ziara vijiji vya Kata ya Kagera Nkanda.







Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Martin Mkisi (mwenye sare za jeshi) akiongea na viongozi wa vijiji vya Kagera Nkanda, na kutafuta ufumbuzi wa kero za wananchi katika vijiji vyao. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE

Wednesday, July 6, 2016

SWALA YA ED-EL-FITR ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI


Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed- El- Fitr iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye swala hiyo.
Kwa picha zaidi bofya Read More