Thursday, May 29, 2014

MAZIKO YA MSANII RECHO NA MWANAE MAKABURI YA KINONDONI LEO.


Waombolezaji wakiweka mashada juu ya kaburi.
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi la Recho.

Waombolezaji wakiwa katika simanzi.
Miili ya marehemu Recho na mwanae ikipelekwa eneo la makaburi.
Jeneza lenye mwili wa Recho likiwa tayari kushushwa kaburini.
Mazishi ya mtoto wa Recho.
Wasanii wa Bongo Muvi kutoka kushoto Aunt Lulu akiwa na wenzake.
Watumishi wa Mungu (katikati) wakifanya maombi wakati wa maziko.
Msanii Blandina Chagula 'Johari' akiweka udongo kaburini.
 Mjomba wa marehemu, Evance Haule (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la marehemu.
Ndugu wa marehemu wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Rachel Haule.
Mafundi wakichanganya zege.
Mafundi wakisawazisha zege.
Mchumba wa marehemu George Saguda akiwa na simanzi nzito wakati akiaga mwili wa mchumba wake.

No comments:

Post a Comment