Sunday, June 2, 2013

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA JOPO LA WATAFITI WA MASUALA YA UCHUMI AFRIKA, JIJINI ARUSHA LEO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Jopo la Watafiti wa Masuala ya Uchumi Afrika (AERC) kujadili athari za Mazingira kwa Maendeleo ya Bara la Afrika, uliofanyika Jijini Arusha leo
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA) Dkt. Terezya Huvisa, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
 Profesa, Lemma Senbet, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA) Dkt. Terezya Huvisa, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
 Baadhi ya washiriki wa mkutano huo waliohudhuria wakimsikiliza Makamu wa Rais.
 Baadhi ya washiriki wa mkutano huo waliohudhuria wakimsikiliza Makamu wa Rais.
 Baadhi ya washiriki wa mkutano huo waliohudhuria wakimsikiliza Makamu wa Rais.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mtafiti wa Kisayansi Kutoka Mpango wa Pamoja unaohusu Sera za Kisayansi na Mabadiliko ya Tabianchi, Keneth Strzepek (kulia) na Mtafiti Mwandamizi wa Kisayansi,Adam Schlosser (katikati) baada ya kufungua rasmi Mkutano wa Jopo la Watafiti wa Masuala ya Uchumi Afrika (AERC) kujadili athari za Mazingira kwa Maendeleo ya Bara la Afrika, uliofanyika Jijini Arusha leo.

No comments:

Post a Comment