Friday, June 6, 2014

SPIKA MAKINDA AFUNGUA GYM YA MAZOEZI YA BUNGE KWA AJILI YA WABUNGE.

Muonekano wa Jengo litakalo  na GYM ya Bunge kwa nje katika viawanja vya Bunge
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Gym ya Mazoezi katika Viwanja vya Bunge. Gym hiyo itatumiwa na Wabunge , Wafanyakazi pamoja na Wananchi wa Nje watakaopenda kufanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya zao za Miili yao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Gym hiyo Ndg. Omar
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiangalia baadhi ya wananchi waliofika kufanya mazoezi katika GYM ya Bunge baada ya kuizindua rasmi katika viawanja vya Bunge. Kulia ni mfanyakazi wa GYM hiyo Ndg. Ekarist Liheta akitoa maelezo kwa Mhe. Spika
 Spika akipima uzito kabla ya kujisajiri katika GYM hyo leo
  Mkurugenzi wa GYM hiyo Ndg. Omar Ige akimkabidhi Mhe. Spika vifaa vya mazoezi tayari kwa kuanza mazoezi
Meneja wa GYM hiyo Bi. Suzan akitoa neno la Shukrani kwa uongozi wa Bunge pamoja na Spika baada ya Ufunguzi rasmi.

Picha kwa hisani ya Bunge

No comments:

Post a Comment