Wednesday, April 16, 2014

BALOZI WA RWANDA AAGANA NA RAIS KIKWETE IKULU DAR LEO



 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kuzungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe.Ben Rugangazi, aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kuagana na Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

Rais Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe.Ben Rugangazi, aliyemaliza muda, wake wakati alipofika Ikulu jijini Dar leo kwa ajili ya kuaga rasmi. Picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment