Wednesday, April 16, 2014

MIYEYUSHI 'CHICHI MAWE' AENDELEA KUJIFUA KUWAKABILI MTHAILAND APRIL 19, MATUMLA MEI 10



Kiongozi wa Gym ya Lazima, Gulamu Kassim (kushoto) akicheza na bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam, kwa ajili ya Miyeyusho kujiandaa na  pambano lake na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth,  kutoka nchini Thailand linalotarajia kuchezwa April 19, huku pambano lake na Mohamed Matumla likitarajiwa kupigwa Mei 10 kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba.
Mazoezi ya nguvu yakiendelea kwenye kambi ya Lazima Ukae

No comments:

Post a Comment