Saturday, April 12, 2014

SIO DAR TU!HADI MOROGORO MAFURIKO TUPU.

 Baadhi ya Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji katika Eneo la Mzambarauni Mkoa wa Morogoro kutokana na Mvua zilizo nyesha jana .


 Mtoto huyu akiwa anatoa maji ndani ya nyumba yao iliyojaa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuliko Mkoa wa Morogoro .

 Baadhi ya nyumba zilizobomolewa na mvua zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya mikoa ya Tanzania


 Wakazi wa Mkoa wa Morogoro wakiwa kwenye eneo la Daraja la Mzambarauni Mkoani humo wakiangalia maji yaliosababisha mafuliko 

No comments:

Post a Comment