Saturday, April 19, 2014

FRANCIS MIYEYUSHO, MTHAILAND WAPIMA UZITO KUONYESHANA UBABE LEO PTA


Bondia Sukkasem Kietyongyuth,  kutoka Thailand (kulia) akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya pambano lao la leo jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.
Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand (kulia) akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito.
Bondia Mustafa Dotto (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' baada ya kupima uziti jana, kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba leo.
Bondia Mfaume Hamad (kushoto) akitunishiana misuli na Godfrey Sadiki.

No comments:

Post a Comment