Saturday, April 12, 2014

MVUA YA DAR MAJANGA MATUPU,DALAJA LINGINE LABOMOKA

Wakati wengine wakihaha na mafuriko hawa wanakula bata bila wasiwasi ndani ya maji,sipati picha maji yakifika shingoni 
Nyumba zinazidi kumezwa na maji 
Vijana wakimsaidia mteja wao baada ya kumuangusha kwenye maji baada ya kuzidiwa na maji.
Dada akigombana na kijana aliyemuangusha kwenye maji,ambaye walikubaliana amvushe kwa kumbeba mgongoni ili asikanyage maji badalayake ameyaoga inasikitisha na kuchekesha
Add caption
Add caption
Add caption

No comments:

Post a Comment