Friday, April 11, 2014

KAMPUNI YA JUBILEE WAMKABIDHI SPIKA MAKINDA KADI YA BIMA YA AFYA

 Mtendaji Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda kadi Maalum ya Bima ya Afya atakayoitumia kwa ajili ya matibabu baada ya Ofisi ya Bunge kujiunga na kampuni ya Jubilee Insuarnce kwa ajili ya Bima ya matibabu ya Wabunge wote. Anaeshuhudia katikati ni Ndg. Peter Nyabuti kutoka kambuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers
 Spika Makinda akiwa katika picha ya Pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande (kushoto), Ndg. Peter Nyabuti kutoka kambuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers (Kulia) na Bi. Kitolina Kippa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Ofisi ya Bunge
Mtendaji Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande akimkabidhi Mhe. william Lukuvu kadi Maalum ya Bima ya Afya atakayoitumia kwa ajili ya matibabu baada ya Ofisi ya Bunge kujiunga na kampuni ya Jubilee Insuarnce kwa ajili ya Bima ya matibabu ya Wabunge wote. Anaeshuhudia katikati ni Ndg. Peter Nyabuti kutoka kambuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers

Mhe Lukuvi akiteta jambo na wageni wake ofisini kwake baada ya kukabidhiwa kadi yake. Kulia ni Bi. Kitolina Kippa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Ofisi ya Bunge

No comments:

Post a Comment