Saturday, April 12, 2014

MKURUGENZI MKUU WA TANZANIA WOMEN'S BANK MS MARGARETH CHACHA AKUTANA NA AKINAMAMA WA DMV

Mama Anna Mukami akiwakaribisha wakina mama wa DMV na kumtambulisha mkurugenzi mkuu wa Tanzania Women's Bank wakati Ms Margareth Chacha alipokutana na wakina mama DMV na kuwaelezea sababu za kuanzishwa Benki ya akina mama.
Mchungaji Dr. Nicku Kyangu Mordi akianza kwa sala kabla ya mkutano kuanza.
Ms Margareth Chacha Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank akiongea na akina mama DMV siku ya Ijumaa April 11, 2014 na kuwapa faida ya kufungua AC na Benk hiyo ikiwemo masharti nafuu ya mikopo na kuwaeleza Mabenki mengine inakuwa vigumu kwa wanawake kupata mikopo na akatolea mfano wa sharti moja wpo ni kuwa na nyumba kwa uzoefu wake nyumba nyingi Tanzania zinakuwa kwa majina na waume zao kitu ambacho ni vigumu kwa wanawake wengi kukidhi masharti ya mikopo. Kitu kingine alichoelezea ni kuamisha pesa kupitia benki yao ni kwa haraka zaidi ukilinganisha na Benki zingine.
Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka akifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank kulia ni D
Wakina wa Mama DMV wakifuatilia maelezo kutoka kwa mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank.
Asha na Mrs Mtalemwa wakifuatilia maelezo.
Mzee Safari ambaye alihudhuria mkutano huo kati ni Mama Kayani.
Wakina mama wa DMV wakiwa kwenye mkutano na Ms Margareth Chacha Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank.
Wakina mama wa DMV wakiwa kwenye mkutano na Mkurugenzi wa Tanzania Women's Bank
Wakina mama wa DMV wakifuatilia maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank.

No comments:

Post a Comment