Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWZ:MAKAMU WA RAIS DR GHARIB BILAL ANUSURIKA KIFO

Makamu wa Rais Dr Mohamed ghalib bilal,Magufuri na Kamanda Kova wamepata ajari katika Uwanja wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam baada ya helkopta ya jeshi waliyokuwa wamepanda kuanguka muda mfupi baada ya kuruka kutokana na sababu ambazo hazijajulikana hadi sasa.Makamu wa Rais na msafara wake walikuwa wanakwenda kukagua maeneo yaliyo pata athari za mafuriko.hadi sasa hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye ajari hiyo ila wapo hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi

No comments:

Post a Comment