Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWZ :MAJAMBAZI YAPORA FUKO LA PESA MOROCCO KINODONI DAR.


Tukio limetokea muda mchache uliopita pale Moroko. Watu waliokuwa kwenye gari waliwarushia risasi watu wa gari nyingine na kukwapua fuko la pesa na kutoweka nazo.

No comments:

Post a Comment