Sunday, May 25, 2014

HIVI NDIVYO AMINA NGALUMA ALIVYOZIKWA, TAZAMA PICHA ZOTE HAPA


 
Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, MachimboMnarani. 
Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukiingizwa kaburini. 
Mume wa marehemu Amina Ngaluma akisoma dua kwa mkewe.

No comments:

Post a Comment