Sunday, May 25, 2014

SAID MBELWA, KALAMA NYILAWILA HAKUNA MBABE, MASHALI NA MAUGO WAZICHAPA KAVUKAVU UKUMBINI


Bondia Said Mbelwa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Karama Nyilawila wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa UBO uliofanyika katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam hata hivyo mshindi ajapatikana kutokana na fujo zilizotokea katika raundi ya nane.

Bondia Zumba Kukwe kushoto akioneshana umwamba na Josef Njelekela wakati wa mpambano wao waliotoka droo.
Bondia Zumba Kukwe kushoto akioneshana umwamba na Josef Njelekela wakati wa mpambano wao waliotoka droo.
Khalid chokoraa akipongezwa baada ya kuibuka mshindi katika pambano lake.
Chokoraa akipongezwa na washkaji zake.
Bondia Tasha Mjuaji kushoto akipambana na Rajabu Mahoja wakati wa mpambano wao
Bondia Mada Maugo (kushoto) akizichapa kavu kavu na Thomas Mahali mwenye rasta.

Bondia Mada Maugo akizipiga kavukavu na bondia Thomas Mashali walipokutana katika ukumbi wa Frends Corner Manzese
*********************************

PAMBANO la ubingwa wa UBO limekosa kutangazwa mshindi mbele ya mashabiki baada ya vurugu kubwa kutokea katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment