Wednesday, May 28, 2014

HUZUNI YATAWALA LEADERS, MWILI WA MSANII RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE KWENDA KWAO SONGEA KWA MAZISHI

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akilia kwa uchungu.Huzuni tele ikiwa imetawala wasanii waliokuwa viwanja ya 
 Leaders. 
 Bi. Mwenda akilia kwa uchungu.
Mume wa Rachel aitwaye Saguda akiwa na majonzi.
 Steve akizungumza na wanachama wa Bongo Muvi, viwanja vya Leaders.
Mwigizaji Johari akiwa na huzuni.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi wakijadili cha kufanya.
Wasanii wakipanga utaratibu wa msiba wa mwenzao.


MASTAA wa Bongo Muvi wakimlilia msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' aliyefariki jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye yeye akafariki.

Kwa mujibu  wa mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve ‘Nyerere’, mwili wa Rachel utasafirishwa kwenda kwao Songea kwa ajili ya maziko.  Habari nyingine za msiba zitatolewa wakati wowote na mtandao huu mara tu zinapopatikana.

No comments:

Post a Comment