Monday, May 27, 2013

*HOYCE TEMU AWAFUNDA WAREMBO WA REDD'S MISS KIGAMBONI WANAOCHUANA JUNI 7


Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (kushoto) akizungumza na warembo wanaotarajia kushiriki katika shindano la Redd's Miss Kigamboni 2013, wakati alipowatembelea kwenye kambi yao ya mazoezi jijini Dar es Salaam, ,wishoni mwa wiki. Shindano hilo linatarajia kufanyika Juni 7 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Navy Beach Kigamboni.

No comments:

Post a Comment