Monday, May 27, 2013

*SPIKA WA BUNGE ANNA MAKINDA AENDESHA KIKAO CHA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM ILIYOUNDWA KUCHUNGUZA CHANZO CHA MGOGORO NA VURUGU ZA MTWARA

 Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiongoza kikao cha pamoja na wajumbe wa kamati maalum iliyoundwa na Spika kuchunguza chanzo cha migogoro ya wananchi wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi. 


*SPIKA WA BUNGE ANNA MAKINDA ALIPOKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI TZ, BI. FIONNULA GIISENNAN
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda  akimkaribisha na kuzungumza na Balozi wa Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan, wakati alipofika Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma kwa mazungumzo, leo mchana

No comments:

Post a Comment