Monday, May 27, 2013

*KUTOKA SOKO LA MANGULA MAKAMBAKO MAARUFU KWA KUUZA MBOGA ZA MAJANI


Soko la Mangula,Makambako mjini Njombe linazidi kuwa maarufu kila kukicha kwa kuuza mboga za majani kwa wingi. 
Mfanyabishara wa mboga mboga aliyejitambulisha kwa jina la, Mama Joshua, akiandaa biashara yake ya mboga za majani aina ya figili tayari kwa kusubiri wateja,leo katika soko la Mangula Makambako. Picha na Adam H. Mzee

No comments:

Post a Comment