Tuesday, May 28, 2013

CCM YAFUNIKA MKUTANO WA LUDEWA, NJOMBE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoni Njombe, leo May 28, 2013. Kinana ambaye yupo katika ziara ya siku saba, kukagua utekelezaji wa ilani ya chama na kuzungumza na wananchi mkoani Njombe, amefuatana na Katiobu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. (Picha na Bashir Nkoromo)
Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika Mei 28, 2013 katika Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoani Njombe. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment