Tuesday, May 28, 2013

KWAYA YA CHORAL SOCIETY YATOA BURUDANI YA NYIMBO ZA MUZIKI WA CLASSIC

 Wanakwaya wa Dar Choral Society  ya jijini Dar es Salaam, Wakionyesha umahili wao wakati wa Tamasha la burudani  ya nyimbo za Classic lililofanyika  katika Hoteli ya Serena mwishoni mwa wiki. Kikundi hicho kimekuwa maarufu hapa nchini kwa kuwa na wapenzi wa rika zote.
 Mwalimu wa kwaya ya Dar Choral Society, Hekima Raymond, akiongoza kwaya hiyo wakati wa Tamasha lililofanyika  katika ukumbi wa Hoteli ya Serena  ljijini Dar es Salaam, ikiwa ni mahususi kwa kutoa burudani kwa wapenzi wa nyimbo za muziki wa Classic.
 Wanakwaya wa Dar Choral Society  ya jijini Dar es Salaam, Wakionyesha umahili wao wakati wa Tamasha burudani  ya nyimbo za Classic lililofanyika  katika Hoteli ya Serena. Kikundi hicho kimekuwa maarufu hapa nchini kwa kuwa na wapenzi wa rika zote.
 Wanakwaya wa Dar Choral Society  ya jijini Dar es Salaam, Wakionyesha umahili wao wakati wa Tamasha burudani  ya nyimbo za Classic lililofanyika  katika Hoteli ya Serena.

No comments:

Post a Comment