Monday, May 27, 2013

*NCHI 22 ZA AFRIKA ZAPATA DARASA JUU YA AMANI YA MTU BINAFSI JANA


Mtaalam na mkufunzi wa masuala ya amani ya mtu binafsi kwa njia ya kutafakari kutoka taasisi ya Art of Living, Chandrika, Magaraja akitoa maelezo kuhusu amani ya mtu binafsi inavyoweza kupatikana kwa kutafakari wakati wa kushiriki Mafunzo hayo yalifanyika jana kwa njia ya video na kufanyika kwa wakati mmoja katika nchi 22 za Afrika na yaliongozwa na Kiongozi wa Art of Living Duniani, ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).

No comments:

Post a Comment