Friday, May 24, 2013

RAIS KIKWETE ALIPOWAAPISHA MABALOZI WANNE NA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA SHERIA IKULU JANA


 Rais Jakaya Kiwete akimwapisha Balozi Modest Mero kuwa Balozi mpya wa Kidumu Umoja wa Mataifa (UN), nchini Geneva Uswis. Jumla ya Mabalozi wanne waliapishwa na Rais kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali za nje pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha sheria.
Rais Jakaya Kiwete Rais Jakaya Kiwete akimwapisha Jaji Aloysius Mujulizi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, mbali na Mwenyekiti huyo wa Tume pia Rais aliwaapisha Mabolizi wanne kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali za nje.

No comments:

Post a Comment