Monday, May 27, 2013

*KINANA NAPE WATUA IRINGA, KUANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOA WA NJOMBE LEO


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakisalimia baadhi ya viongozi, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Iringa leo asubuhi, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku saba, mkoani Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  akiongozana na viongozi wa mkoa wa Iringa. Nyuma ni Nape Nnauye pia kiongozana na baadhi ya viongozi wa CCM mkoa wa Iringa, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Iringa leo asubuhi kwa ajili ya kuanza Ziara ya Mkoa mpya wa Njombe.
 Kinana akisaini kitabu cha wageni Uwanja wa Ndege wa Iringa baada ya kuwasili uwanjani hapo asubuhi ya leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Joyce Msavatavangu
Nape akisaini kitabu cha wageni...............................


No comments:

Post a Comment