Sunday, April 6, 2014

HIVI NDIVYO RIDHIWANI KIKWETE ALIVYOIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI WA JIMBO LA CHALINZE AKOMBA ASILIMIA 87


CCM 20812 = %86.5 CDM 2628 = %10.9 CUF 473 = % 1.9 AFP 78 = % 0.3 NRA 59 = % 0.2 .

Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze yametangazwa Chama cha Mapinduzi CCM kimepata jumla ya kura 20812,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimepata idadi ya jumla kura 2828 na chama cha Wananchi CUF kimepata kura 474.

Hivyo chama cha Mapinduzi CCM kimeshinda Kiti cha Ubunge Jimbo la Chalinze.

CCM  20812    CDM 2638     CUF 473   AFP 78   NRA 59

No comments:

Post a Comment