Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ndugu Ridhiwani Kikwete kushoto akimkabidhi bendera Bw Iddi Mjema aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Msata baada ya kuru disha kadi ya CUF na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Pongwe Msungula kata ya Msata leo, katikati ni Meneja kampeni na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Bw. Kazidi, Uchaguzi wa jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6 Jumapili mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE) 

Sam wa Uweli akiimba na wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Mkoko. 

Mmoja wa wananchi akiwa amejikinga jua na picha ya mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete. 

Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkoko katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo.. 

Wananchi wakiwa wamejikinga jua na picha ya mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete.
Mwanamuziki Hafsa Kazinja akiimba na wananchi katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Madesa

Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete akicheza na akina mama katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Madesa kata ya Msata. 

Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM akicheza pamoja na Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete wakati akimnadi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Lugoba leo. 

Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana mkoa wa Simiyu Bw. Njalu Silanga wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Lugoba. 

Mbunge wa Shinanga mjini na Naibu Waziri wa Madini Mh. Steven Masele akimuombea kura Bw. Ridhiwani Kikwete katika mkutano wa kampeni uliofanyika Lugoba leo. 

No comments:
Post a Comment