Tuesday, April 8, 2014

VITA YA UGAIDI YAZUKA UPYA UKRAINE, WAANDAMANAJI WAHARIBU MAJENGO YA SERIKALI



 Ukraine imezindua Operesheni dhidi ya Ugaidi Mashariki mwa Kharkiv, ambapo zaidi ya watu 70 wamekamatwa kwa utekaji wa jiji hilo. Imethibitishwa na uongozi wa Serikali ya Ukraine kuwa baada ya kutokea kwa maandamano makubwa katika miji ya Luhansk, Mashariki mwa Donetsk na Karkiv, kwa kile kilichodaiwa na waandamanaji hao kutaka waruhusiwe kujiunga na Urusi kama wananchi wa Jimbo la Crimea walivyoamua kwa kupiga kura na kujiunga na Taifa hilo lenye nguvu duniani.

Vurugu hizo zimeelezwa kuchochewa na Nchi ya Urusi ambayo tayari imeonywa kuhusu kuvuruga amani ya nchi ya Ukraine

No comments:

Post a Comment