Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kitongoji cha Mbala kata ya Bwilingu leo wakati akiomba kura kwa wananchi hao, Uchaguzi wa jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE)
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akifurahia wakati Meneja wa Kampeni hizo Mzee Kazidi alipokuwa akimtambulisha jukwaani.
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete katikati na Meneja kampeni Mzee Kazidi wakimsikiliza Diwani wa kata ya Bwilingu Bw. Nasser Ahmed wakati wa mkutano huo.
Diwani wa kata ya Bilingu Nasser Ahmed akizungumza na wananchi katika kitongoji cha Mbala kata ya Bwilingu
.
Msanii Sam wa Ukweli akipozi kwa picha na Msanii Lina Sanga.
Msanii Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake katika mkutano huo.
Msanii Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake katika mkutano huo.
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akifungua shina la wakereketwa la Magwila kata ya Bwilingu

Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment