Tuesday, June 17, 2014

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NA WAKURUGENZI WA BODI YA NHC NCHINI SINGAPORE

IMG_8978

IMG_9018Ujumbe wa Tanzania ukielezwa namna mji wa Singapore ulivyopangwa kulingana na matumizi .IMG_9034Ujumbe wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ukiwa katika Bodi ya Uendelezaji wa nyumba ya Singapore ambayo harakati za Bodi hiyo zimewezesha asilimia 86 ya watu wa nchi hiyo kupata nyumba za kuishi. Nchi ya Singapore ina watu milioni 5.4 IMG_9073Ujumbe wa Naibu Waziri ukiwa katika kampuni inayosambaza na kusimamia usalama wa maji katika nchi ya Singapore na maeneo mbalimbali Tanzania ya Hyflux Innovation Centre ambayo pia imeonyesha nia ya kushirikiana na Tanzania kusambaza maji katika maeneo inayojenga nyumba za wananchi.

No comments:

Post a Comment