Tuesday, June 17, 2014

MAANDALIZI YA MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MATUNDA YA TEKNOLOJIA MPYA YA UPASHANAJI WA HABARI YAJA.

 Mhadhiri Mwandamizi katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) Charles Irigo (katikati) ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya mkutano wa kimataifa kuhusu matunda ya teknolojia mpya ya upashanaji wa habari akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano huo leo katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari(MAELEZO). Kulia ni Mhariri wa Mlimani media Hamis Dambaya na kushoto ni Mhariri wa Mlimani Media,Amini  Mgeni.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhadhiri Mwandamizi katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habar na Mawasiliano ya Umma(SJMC) Charles Irigo. Picha zote na Magreth Kinabo – Maelezo.

No comments:

Post a Comment