Friday, June 13, 2014

RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AENDA UINGEREZA LEO.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP   uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama  Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi mbali mbali na wazee wa Chama katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP   uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,wakiondoka nchini leo kwenda Uingereza kwa safari maalum.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment