Tuesday, June 17, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KUMPOKEA MAKAMU WA RAIS WA CHINA JUNI 22



  Balozi wa China nchini, Lu Youging (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Li Yuanchao katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo jijini Dares Salaam. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China ,Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo . Makamu wa Rais wa China anatarajia kutua nchini Juni 21, jijini Arusha na anatarajia kupokelewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Juni 22, jijini Dar es Salaam.
 Balozi wa China nchini,Lu Youging(kulia) akizungumza na waandishi wa habarikuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Li Yuanchao katikaukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo jijini Dares Salaam. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China ,Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo na kulia ni  First  Secretary  kutoka  ubalozi  wa China ,Ren Zhihong .
 Balozi wa China nchini,Lu Youging(kulia) akizungumza na waandishi wa habarikuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Li Yuanchao katikaukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo jijini Dares Salaam.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China ,Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo na watatu kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australia kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushiruikiano wa Kimataifa.
 Picha namba 0272 ni Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Balozi wa China nchini,Lu Youging. Picha zote na Magreth Kinabo – Maelezo

No comments:

Post a Comment