Monday, June 16, 2014

INDIA BASI TENA!!!!!! HOSPITALI YA MUHIMBILI SASA KUTOA HUDUMA KAMILI ZA UPASUAJI,

 Madaktari Bingwa kutoka Chuo Kikuu cha Afya cha Alexandria nchini Misri, pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakimfanyia upasuaji mmoja wa watoto aliyetakiwa kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu jijini Dar es Salaam juzi, ambapo sasa Hospitali ya Muhimbili imeanza kutoa huduma hiyo baada ya kupata vifaa na kitengo maalum cha upasuaji.

No comments:

Post a Comment