Monday, June 16, 2014

MTAMBUE NESIWANGU ANAYEHUSIKA NA TAALUMA YA MAMBO YA AFYA DMV

Msikilize kwa makini  audio ya mzalendo wakiTanzania Hariet Shangarai (NesiWangu Mynurse) anehusika na taaluma za utowaji huduma za ayfa zetu Jijini Washington DC, alipokuwa akiongea katika ufunguzi rasmi wa tamasha la kutimiza miaka miwili tangu kuazishwa kwa kundi zima la Wanawake wa DMV lijulikanalo kama ''Tando Lady's" siku ya Siku ya Ijumaa June 13, 2014
Hariet Shangarai (NesiWangu Mynurse) mtowaji wa huduma za afya DMV, alipokuwa akipata picha ya pamoja na mhudumiwa baada ya maangalizi ya afya bureDMV siku ya Jumamosi April 12, 2014 
Video siku ya Jumamosi April 12, Hariet Shangarai (NesiWangu Mynurse) aliposhirikiana na kundi zima la HCP MetroDC Screening Program, ambalo linatua huduma za afya bure kwa wanaDiaspora wanaoishi hapa Marekani, siku hiyo ya  Jumamosi akatika Video iliopo cheni aliweza kuwashirikisha waTanzania wanaoishi hapa DMV katika maangalizi ya bure juu ya afya zao.

No comments:

Post a Comment