Saturday, June 14, 2014

MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA NCHI ZA G 77+CHINA JIJINI SANTA CRUZ, BOLIVIA

Nchi wanachama wa wa G 77 zimewasili jijini Santa Cruz, nchini Bolivia kwa ajili ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Nchi za G77 na China, unaotarajia kufanyika kesho jijini hapa. Miongoni mwa Viongozi wanaotarajia kuhudhuria maadhimisho hayo ni pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye leo amekutana na kuzungumza na Rais wa Bolivia, Evo Morales.

No comments:

Post a Comment