Monday, June 16, 2014

UVCCM MOROGORO WAMKATAA MWENYEKITI WAO KWA MABANGO MBELE YA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWILU

  Baadhi  ya wajumbe wa UVCCM  wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumpinga mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Moro Bi. Erieth Suta
 Wajumbe kutoka Wilya ya Gairo

 Kamanda wa UVCCM akisoma moja ya mabango hayo,
 Mjumbe kutoka Wilaya ya Kilombero

 Kutoka wilaya ya Ulanga

 Baadhi ya wajumbe hao wakiingia kwenye Kikao hicho cha baraza la Vijana mkoa kwa nyimbo na mabango ya kumpinga mwenyekiti wao

No comments:

Post a Comment