Monday, June 16, 2014

NMB YAWAONYESHA UBABE WABUNGE YATWAA KOMBE,YAWACHAPA MABAO 4-0

Makombe yapotayari kwaajili ya Kukabidhiwa kwa Mshindi Upande wa Mpira wa pete na Mpira wa Miguu kati ya Wafanyakazi wa NMB Dodoma na timu za Bunge za Pete na Mpira wa Miguu.Mh:Lukuvi akiwa benchi la Ufundi la timu ya Bunge.Wachezaji wa akabiba wa timu ya NMB-Dodoma.Mlinda mlango wa timu ya NMB akiwa kazini.Mtanange Unaendelea,Mh:Mwigulu Nchemba akitafuta mpira. 

No comments:

Post a Comment