Tuesday, June 10, 2014

UAMUZI RUFANI YA WAMBURA KUPINGA KUENGULIWA KUGOMBEA URAIS KUTANGAZWA KESHO.



Uamuzi kuhusu rufani ya Michael Wambura kupinga kuenguliwa kugombea nafasi ya Rais utatangazwa kesho (Juni 11 mwaka huu) saa 6 kamili mchana na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Julius Lugaziya.
Boniface Wambura
Ofisa Habari na Mawasiliano
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
+255 713 210 242
+255 767 310 242

No comments:

Post a Comment