Tuesday, June 10, 2014

RAIS AZINDUA CHAPISHO LA TATU LA TAARIFA ZA SENSA.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia,kijamii na  kiuchumi pamoja na tovuti katika kupata taarifa za Sensa na Makazi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Viongozi wengine walioshiriki katika hafla ya uzinduzi huo kutoka kushoto ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Bibi Mariam Khan Mwakilishi wa UNFPA,Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Waziri wa Fedha Bi.Saada Mkuya na kulia ni Kamishna wa Sensa na Makazi Hajjat Amina Mrisho Said(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment