Friday, June 21, 2013

*BALOZI IDD AMJULIA HALI NA KUMUAGA SHEHA WA SHEHIA YA TOMONDO MOHD OMAR, NAYEKWENDA KUTIBIWA NCHINI INDIA


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimuaga Sheha wa Shehia ya Tomondo Mohd Omar Said { Kidevu }  anayekwenda Nchini  India kwa Uchunguzi na Matibabu zaidi baada ya kumwagiwa Tindi kali usiku wa Tarehe 22 Mei 2013.
Sheha Kidevu alikuwa akipatiwa  huduma ya matibabu katika Hospitali Kuu ya Rufaa Mnazi Mmoja kwa takriban Mwezi mmoja baada ya tukio hilo.Sheha wa Shehia ya Tomondo Moha Omar Said Kidevu akitoa shukrani kwa SMZ kwa kufanikisha safari yake ya kwenda matibabuni  Nchini India mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ambae hayupo pichani wakati alipokwenda kumuuga rasmi kwa safari hiyo.Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
************************************KUSOMA ZAIDI BOFYA CHINI

No comments:

Post a Comment